Mbegu
aina ya machipukizi hutokana na shina la zamani la pareto, shina hilo
hung’olewa na baadaye huchanwa chanwa katika mche
moja
moja na pasipo kuumiza mche.
Ukisha andaa mbegu zoezi la kuandaa shamba na
upandaji, linafuata. Shamba lilimwe vizuri kwa
kwa
kuondoa magugu masumbufu kama Sangari. Matuta yenye sentimeta 60 toka tuta hadi
tuta yaandaliwe.
Faida ya kutumia machipukizi ni
1.
Mimea karibu yote hutoa maua kwa wakati mmoja
2.
Ina kiwango cha juu cha sumu kwa kuwa mimea yote hufanana
3.
Kipato cha maua makavu katika hekta ni kikubwa







